Mchicha (Amaranthus spp.) ni jamii mojawapo ya mboga za majani. Hutumika sana na watu wengi katika Afrika ya Mashariki. Husaidia katika kuona.