dcsimg

Panda Mkubwa ( Swahili )

provided by wikipedia emerging languages

Panda mkubwa (kutoka Kiing.: giant panda, Kisayansi: Ailuropoda melanoleuca) ni dubu mkubwa kiasi wa Uchina aliye mweusi na mweupe.

Crystal Clear app babelfish vector.svg Makala hii kuhusu mnyama fulani bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Panda Mkubwa kama uainishaji wake wa kibiolojia, maisha au uenezi wake?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari. WikiLettreMini.svg Makala hii kuhusu "Panda Mkubwa" inatumia neno (au maneno) ambalo si kawaida na matumizi yake ni jaribio la kutafsiri neno (au maneno) la asili giant panda kutoka lugha ya Kiingereza. Neno (au maneno) la jaribio ni panda mkubwa.
Wasomaji wanaombwa kuchangia mawazo yao kwenye ukurasa wa majadiliano ya makala.

Kamusi za Kiswahili ama zinatofautiana kuhusu matumizi ya neno hili au hazieleweki au hazina neno kwa jambo linalojadiliwa.

license
cc-by-sa-3.0
copyright
Waandishi wa Wikipedia na wahariri