dcsimg

Koala ( Swahili )

provided by wikipedia emerging languages

Koala (kutoka Kiing.: koala, Kisayansi: Phascolarctos cinereus) ni mnyama mdogo wa Australia mwenye manyoya ya kijivu na anaofanana na dubu. Kama kangaruu na marsupialia wengine, koala wa jike huwa na pochi (ambayo inaitwa marsupiumu) ambamo mtoto humalizia kukua akiwa humo ndani.

WikiLettreMini.svg Makala hii kuhusu "Koala" inatumia neno (au maneno) ambalo si kawaida na matumizi yake ni jaribio la kutafsiri neno (au maneno) la asili koala kutoka lugha ya Kiingereza. Neno (au maneno) la jaribio ni koala.
Wasomaji wanaombwa kuchangia mawazo yao kwenye ukurasa wa majadiliano ya makala.

Kamusi za Kiswahili ama zinatofautiana kuhusu matumizi ya neno hili au hazieleweki au hazina neno kwa jambo linalojadiliwa.

license
cc-by-sa-3.0
copyright
Waandishi wa Wikipedia na wahariri