Mkorosho, pia mbibo au mkanju (Anacardium occidentale), ni mti unaozaa korosho, moja baina ya jozi za kulika zinazopendwa kabisa. Kokwa haimo ndani ya tunda lakini inaambata chini lake. Matunda yanaitwa mabibo au makanju pia.