Wadudu mabawa-vena ni wadudu wadogo hadi wakubwa kiasi wa oda Neuroptera (neuro = neva, ptera = mabawa) katika nusungeli Pterygota (wenye mabawa). Jina ni tafsiri ya jina la kisayansi. Katika Afrika familia inayojulikana sana ni Myrmeleontidae (vitukutuku au simba-sisimizi).
Wasomaji wanaombwa kuchangia mawazo yao kwenye ukurasa wa majadiliano ya makala.
Kamusi za Kiswahili hazina jina kwa mnyama huyu au wanyama hawa.