dcsimg
Image of Monteverde Moss Salamander
Creatures » » Animal »

Chordates

Chordata

Kodata ( Swahili )

provided by wikipedia emerging languages
 src=
Muundo wa kodata (samaki sahili): 1 = uvimbe wa ugwe wa neva ("ubongo"), 2 = notokodi, 3 = ugwe wa neva, 4 = mkia nyuma ya mkungu, 5 = mkungu, 6 = njia ya chakula, 7 = mfumo wa mzunguko, 8 = atriopori, 9 = uwanda kuzunguka koromeo, 10 = ufa wa tamvua, 11 = koromeo, 12 = uwanda wa mdomo, 13 = minyiri, 14 = mdomo, 15 = gonadi (ovari/kende), 16 = jicho sahili, 17 = neva, 18 = mkunjo wa tumbo, 19 = ini sahili

Kodata (kutoka lugha ya kisayansi: Chordata) ni kundi kubwa la wanyama wenye ugwe wa neva mgongoni.

Ugwe unaunganisha neva ambazo ni muhimu kwa mwili kwa jumla na neva za kila sehemu au kiungo zinatoka hapa. Ugwe wa neva unaenda sambamba na mhimili wa seli ambazo ni imara zaidi ama gegedu au mfupa.

Mhimili huu ni chanzo cha uti wa mgongo kwa wanyama wengi wa kundi hili na kiunzi cha mifupa cha ndani ya mwili.

Kodata waliendelea kutoka kwa wanyama wengine kama Arthropoda wenye kiunzi cha nje.

Katika uainishaji wa kisayansi Kodata ni faila ya wanyama (Animalia). Nusufaila yenye spishi nyingi ni Vertebrata. Hapa mhimili wa kati unaendelea kuwa uti wa mgongo.

Samaki, amfibia, reptilia na mamalia ni oda ndani ya vertebrata.

Picha

Morpho didius Male Dos MHNT.jpg Makala hii kuhusu mambo ya biolojia bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Kodata kama historia yake au mahusiano yake na mada nyingine?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.

Viungo vya nje

license
cc-by-sa-3.0
copyright
Waandishi wa Wikipedia na wahariri

Kodata: Brief Summary ( Swahili )

provided by wikipedia emerging languages
 src= Muundo wa kodata (samaki sahili): 1 = uvimbe wa ugwe wa neva ("ubongo"), 2 = notokodi, 3 = ugwe wa neva, 4 = mkia nyuma ya mkungu, 5 = mkungu, 6 = njia ya chakula, 7 = mfumo wa mzunguko, 8 = atriopori, 9 = uwanda kuzunguka koromeo, 10 = ufa wa tamvua, 11 = koromeo, 12 = uwanda wa mdomo, 13 = minyiri, 14 = mdomo, 15 = gonadi (ovari/kende), 16 = jicho sahili, 17 = neva, 18 = mkunjo wa tumbo, 19 = ini sahili