dcsimg
Image of cogongrass
Creatures » » Plants » » Dicotyledons » » True Grasses »

Cogongrass

Imperata cylindrica (L.) P. Beauv.

Mtimbi ( Swahili )

provided by wikipedia emerging languages

Mtimbi au msufi wa bara (Imperata cylindrica) ni aina ya nyasi inayoishi miaka mingi. Asili yake ni Asia lakini umewasilishwa katika mabara mengine. Katika Afrika nyasi hili limekuwa mmea msumbufu mbaya sana.

Viungo vya nje

Picha

license
cc-by-sa-3.0
copyright
Waandishi wa Wikipedia na wahariri

Mtimbi: Brief Summary ( Swahili )