dcsimg
Image of Dendropsophus nanus (Boulenger 1889)
Creatures » » Animal »

Vertebrates

Vertebrata

Vertebrata ( Swahili )

provided by wikipedia emerging languages
 src=
Mbwa ni mfano wa wanyama wa vertebrata

Vertebrata ni jina la kitaalamu la kutaja wanyama wote wenye uti wa mgongo. Mifano ni mamalia, ndege (Aves), reptilia (wanyama watambaaji kama nyoka au mamba) na samaki. Mwanadamu pia huhesabiwa humo kibiolojia.

Vertebrata wana kiunzi cha ndani, neva kuu zinapitishwa ndani ya uti wa mgongo zinapohifadhiwa ndani ya ganda la mfupa. Kuna kitovu cha neva upande wa juu ya uti wa mgongo na kwa wanyama walioendelea zaidi kitovu hiki kimeendelea kuwa ubongo unahifadhiwa ndani ya fuvu.

Vertebrata wako kote duniani kwenye mabara yote na aina mbalimbali za mazingira kuanzia nchi kavu, baharini hadi tako la bahari na hewani (ndege). Takriban spishi 58.000 zinajulikana. Ni wananyama wakubwa maana wanyama wasio na uti wa mgongo kwa jumla ni wadogo zaidi hadi wadogo sana.

Uainisho

Viungo vya Nje

license
cc-by-sa-3.0
copyright
Waandishi wa Wikipedia na wahariri

Vertebrata: Brief Summary ( Swahili )

provided by wikipedia emerging languages
 src= Mbwa ni mfano wa wanyama wa vertebrata