Shakivale ni ndege mbua wa nusufamilia Buteoninae katika familia Accipitridae. Wana mwili mnono na mabawa mapana. Shakivale wengi hula wanyama wadogo, lakini wengine hula wadudu na mizoga pia. Huwimba mbugani, lakini hujenga tago lao juu ya mti, kichaka kirefu au jabali katika mahali kwenye miti.