Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru
Reduncinae ni nusufamilia ndogo katika familia Bovidae. Spishi zake zinafanana na tohe. Nusufamilia hii ina jenasi mbili ndani yake:
Ili kupata maelezo kuhusu masanduku ya uanapwa ya spishi angalia: Wikipedia:WikiProject Mammals/Article templates/doc.
Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru
Reduncinae ni nusufamilia ndogo katika familia Bovidae. Spishi zake zinafanana na tohe. Nusufamilia hii ina jenasi mbili ndani yake:
Kobus (Kuro) Redunca (Tohe)