Chatu ni spishi za nyoka katika jenasi Python wa familia Pythonidae. Kwa sababu hawana sumu lazima waue mawindo yao kwa njia nyingine. Kwa hivyo huzongamea mwili wao kuzunguka kidari cha mawindo kisha kubana kwa nguvu ili kuzuia mawindo asipumue mpaka akufe. Halafu humwakia mzima.