dcsimg

Sufi ( Svahili )

wikipedia emerging languages tarafından sağlandı
Kwa mwelekeo wa kidini tazama Sufii, Usufii
 src=
Sufi katika tunda la msufi mweupe, Ceiba pentandra, kisiwani Unguja
 src=
Msufi-pori (Rhodognaphalon schumannianum)

Sufi (kar. صوف suf[1]) ni jina kwa nyuzi laini kama pamba zinazotoka kwenye matunda ya msufi (miti ya jenasi Bombax, Ceiba na Rhodognaphalon).

Sufi hutumiwa kwa kujaza magodoro, kama kalafati kuziba nyufa kati ya mbao za mashua n.k. Haifai kwa kutengeneza nyuzi ndefu na vitambaa.

Mara nyingi neno hili latumiwa pia kwa kutaja sufu yaani manyoya ya kondoo.

Marejeo

  1. neno asilia katika Kiarabu صوف suf lamaanisha nywele manyoya laini ya kondoo na wanyama wengine limeingia katika Kiswahili kwa maumbo ya sufi na sufu
lisans
cc-by-sa-3.0
telif hakkı
Waandishi wa Wikipedia na wahariri

Sufi: Brief Summary ( Svahili )

wikipedia emerging languages tarafından sağlandı
Kwa mwelekeo wa kidini tazama Sufii, Usufii  src= Sufi katika tunda la msufi mweupe, Ceiba pentandra, kisiwani Unguja  src= Msufi-pori (Rhodognaphalon schumannianum)

Sufi (kar. صوف suf) ni jina kwa nyuzi laini kama pamba zinazotoka kwenye matunda ya msufi (miti ya jenasi Bombax, Ceiba na Rhodognaphalon).