Di afrikoonsk pualemroler (Nandinia binotata) as en ruuwdiart an hiart tu a kaatoortagen (Feloidea). Hi as di iansagst slach uun det famile pualemrolern (Nandiniidae).
Onerslacher:(efter MSW[1])
Di afrikoonsk pualemroler (Nandinia binotata) as en ruuwdiart an hiart tu a kaatoortagen (Feloidea). Hi as di iansagst slach uun det famile pualemrolern (Nandiniidae).
Fungo-miti (wa Afrika) (Nandinia binotata) ni mnyama mbua mdogo, spishi pekee ya jenasi yake na ya familia yake Nandiniidae[1]. Ana mwili ufananao na ule wa paka mdogo wenye miguu mifupi, masikio madogo na mkia wa urefu wa mwili. Wanyama wazima huwa na uzito wa kg 1.7 hadi 2.1. Hii ni spishi ya misitu mizito ya Afrika ambapo huishi mitini. Hula vitu vyingi kama wagugunaji, wadudu, mayai, mizoga, matunda, ndege na popo-matunda. Mnyama huyu ni mpweke na hukiakia usiku.
Ijapo fungo-miti anafanana na spishi za fungo za familia Viverridae, inaonekanana kama huyu ni tofauti kwa kinasaba na aliachana na fungo kabla ya paka. Kwa hivyo amepewa jenasi na familia yake binafsi, lakini kuna wataalamu ambao hawakubali.
Fungo-miti (wa Afrika) (Nandinia binotata) ni mnyama mbua mdogo, spishi pekee ya jenasi yake na ya familia yake Nandiniidae. Ana mwili ufananao na ule wa paka mdogo wenye miguu mifupi, masikio madogo na mkia wa urefu wa mwili. Wanyama wazima huwa na uzito wa kg 1.7 hadi 2.1. Hii ni spishi ya misitu mizito ya Afrika ambapo huishi mitini. Hula vitu vyingi kama wagugunaji, wadudu, mayai, mizoga, matunda, ndege na popo-matunda. Mnyama huyu ni mpweke na hukiakia usiku.
Ijapo fungo-miti anafanana na spishi za fungo za familia Viverridae, inaonekanana kama huyu ni tofauti kwa kinasaba na aliachana na fungo kabla ya paka. Kwa hivyo amepewa jenasi na familia yake binafsi, lakini kuna wataalamu ambao hawakubali.
Hui-chiu chang-chhiū-bâ (Eng-gí: African palm civet), ha̍k-miâ Nandinia binotata, sī chi̍t khoán sè-hêng ê chia̍h-bah-bo̍k tōng-bu̍t, chhùn-chhioh óa chhù-niau, seng-oa̍h tī tang-pō͘ Hui-chiu ê nâ-á lāi. Chá-chêng pún khoán tōng-bu̍t sī hông hun tī Viverridae kho ē-té, tè-bé mā ū lâng chiong i hun chò sī to̍k-li̍p ê Nandiniidae kho lāi î-it chi̍t chéng.
Nandinia binotata — від драпежных жывёлаў зь падатрада коткападобных.
Даўжыня складае 44–58 см, даўжыня хваста — 46–62 см, маса — 1,5–5 кг. Жывёла з кароткімі нагамі, маленькімі вушамі. Кароткая, густая поўсьць ад шэра-карычневага да цёмна-карычневага колеру, на сьпіне зь цёмнымі плямамі.
N. binotata жыве ў краінах цэнтральнай Афрыкі, на поўдзень ад Сахары. Звычайна засяляе дрэвы.
Вядзе адзіночны і начны вобраз жыцьця. Спажывае грызуноў, насякомых, яйкі, падлу, фрукты, птушак і кажаноў.
Nandinia binotata — від драпежных жывёлаў зь падатрада коткападобных.