dcsimg

Nematodi ( Suaíli )

fornecido por wikipedia emerging languages

Nematodi au minyoo-kuru ni faila ya minyoo ambayo ni kati ya faila zenye spishi nyingi katika himaya ya wanyama.

Kutofautisha na kuainisha nematodi ni kazi ngumu. Hadi sasa spishi 80,000 zimeelezwa kitaalamu. Kuna makadirio ya kwamba idadi ya spishi hizo inaweza kufikia nusu milioni. Nematodi wengi ni minyoo midogo myeupe au bila rangi wanayoishi katika mazingira mabichi.

Kati ya nematodi wanaojulikana takriban spishi 15,000 ni za kiparasiti (vimelea) yaani wanaishi ndani ya viumbe wengine. Spishi kadhaa husababisha maradhi mbalimbali ya binadamu. [1]

Mlolongo wa DNA katika uchambuzi wa nematodi umepiga hatua sana, ikiwa ni pamoja na uhusiano na spishi za miti.[2]

Marejeo

Morpho didius Male Dos MHNT.jpg Makala hii kuhusu mambo ya biolojia bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Nematodi kama historia yake au mahusiano yake na mada nyingine?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.
licença
cc-by-sa-3.0
direitos autorais
Waandishi wa Wikipedia na wahariri
original
visite a fonte
site do parceiro
wikipedia emerging languages

Nematodi: Brief Summary ( Suaíli )

fornecido por wikipedia emerging languages

Nematodi au minyoo-kuru ni faila ya minyoo ambayo ni kati ya faila zenye spishi nyingi katika himaya ya wanyama.

Kutofautisha na kuainisha nematodi ni kazi ngumu. Hadi sasa spishi 80,000 zimeelezwa kitaalamu. Kuna makadirio ya kwamba idadi ya spishi hizo inaweza kufikia nusu milioni. Nematodi wengi ni minyoo midogo myeupe au bila rangi wanayoishi katika mazingira mabichi.

Kati ya nematodi wanaojulikana takriban spishi 15,000 ni za kiparasiti (vimelea) yaani wanaishi ndani ya viumbe wengine. Spishi kadhaa husababisha maradhi mbalimbali ya binadamu.

Mlolongo wa DNA katika uchambuzi wa nematodi umepiga hatua sana, ikiwa ni pamoja na uhusiano na spishi za miti.

licença
cc-by-sa-3.0
direitos autorais
Waandishi wa Wikipedia na wahariri
original
visite a fonte
site do parceiro
wikipedia emerging languages