Macrosphenus és un gènere d'ocells, de la família dels macrosfènids (Macrosphenidae).
Segons la classificació del Congrés Ornitològic Internacional (versió 2.6, 2010), aquest gènere conté cinc espècies:
Kolojojo ni ndege wadogo wa jenasi Macrosphenus ambao zamani waliainishwa katika Sylviidae, familia ya kucha. Sasa wataalamu wanakubaliana kwamba labda ndege hawa ni kundi lao lenyewe pamoja na vikucha na spishi nyingine za kucha wa Afrika. Kwa sasa hakuna uhakika kama ndege hawa wote waunda familia yao au wamo katika familia mbalimbali. Kufuatana na uchanganuzi wa juzi wa DNA inawezekana kama spishi moja, Macrosphenus kretschmeri, si kolojojo lakini aina ya korogoto au nyembelele. Kolojojo wanafanana na shoro, kuchanyika na kuchamsitu ambao zamani waliainishwa pia katika familia Sylviidae, lakini kolojojo ni wadogo zaidi na wana domo refu na mkia mfupi lakini si mfupi kama ule wa vikucha. Rangi yao kuu ni zaituni, njano tumboni na njano, machungwa au nyekundu mbavuni. Hula wadudu ambao huwatafuta kwa mashina na matawi ya miti na mitambaa. Mwenendo wao wa kuzaa na kujenga tago haujulikani.

Macrosphenus is a genus of African warblers, formerly placed in the family Sylviidae. It is one of two genera in that family known as longbills.
The genus contains five species:[1]
Some authorities, either presently or formerly, recognize several additional species as belonging to the genus Macrosphenus including:
Macrosphenus is a genus of African warblers, formerly placed in the family Sylviidae. It is one of two genera in that family known as longbills.
Macrosphenus es un género de aves paseriformes perteneciente a la familia Macrosphenidae.
El género contiene las siguientes especies:[1][2]
Macrosphenus es un género de aves paseriformes perteneciente a la familia Macrosphenidae.
Huiskukertut (Macrosphenus) on afrikantöpökerttusten heimoon kuuluva varpuslintusuku. Aiemmin suku luettiin kuuluvaksi kerttujen heimoon. Huiskukerttuihin kuuluu BirdLifen mukaan viisi lajia[1].
Huiskukertut (Macrosphenus) on afrikantöpökerttusten heimoon kuuluva varpuslintusuku. Aiemmin suku luettiin kuuluvaksi kerttujen heimoon. Huiskukerttuihin kuuluu BirdLifen mukaan viisi lajia.
Macrosphenus est un genre de passereaux de la famille des Macrosphenidae. Il comprend cinq espèces de nasiques.
Ce genre se trouve à l'état naturel en Afrique centrale[2],[3],[4],[5], de l'Ouest[2],[3],[4] et de l'Est[2],[3],[6].
Selon la classification de référence du Congrès ornithologique international (version 8.2, 2018)[1] :
Macrosphenus est un genre de passereaux de la famille des Macrosphenidae. Il comprend cinq espèces de nasiques.
Macrosphenus (Cassin, 1859) è un genere di uccelli passeriformi africani appartenenti alla famiglia Macrosphenidae.[1][2][3]
Sono passeracei lunghi 11–14.5 cm, con piumaggio poco appariscente, dal bruno al rossiccio, con sfumature verdastre, giallastre e grigiastre. Hanno un becco abbastanza lungo, da cui deriva il nome comune, e code abbastanza corte (con l'eccezione di M. kretschmeri).[3]
Comprende le seguenti specie:[1]
Macrosphenus (Cassin, 1859) è un genere di uccelli passeriformi africani appartenenti alla famiglia Macrosphenidae.
Macrosphenus is een geslacht van zangvogels uit de familie Macrosphenidae.
Het geslacht kent de volgende soort:[1]
Macrosphenus is een geslacht van zangvogels uit de familie Macrosphenidae.
Macrosphenus – rodzaj ptaka z rodziny krótkosterków (Macrosphenidae).
Rodzaj obejmuje gatunki występujące w Afryce[3].
Długość ciała 11–14,5 cm, masa ciała 10–22 g[4].
Greckie μακρος makros – długi; σφην sphēn, σφηνος sphēnos – klin[5].
Do rodzaju należą następujące gatunki[6]:
Macrosphenus – rodzaj ptaka z rodziny krótkosterków (Macrosphenidae).
Långnäbbar (Macrosphenus) är ett fågelsläkte i familjen afrikanska sångare inom ordningen tättingar.[1] Släktet omfattar fem arter som förekommer i Afrika söder om Sahara:[1][2]
Observera att böjnäbbarna i släktena Toxorhamphus och Oedistoma i familjen bärpickare (Melanocharitidae) tidigare kallades långnäbbar.
Långnäbbar (Macrosphenus) är ett fågelsläkte i familjen afrikanska sångare inom ordningen tättingar. Släktet omfattar fem arter som förekommer i Afrika söder om Sahara:
Gul långnäbb (M. kempi) Rostsidig långnäbb (M. flavicans) Olivlångnäbb (M. concolor) Angolalångnäbb (M. pulitzeri) Ljusbukig långnäbb (M. kretchmeri)Observera att böjnäbbarna i släktena Toxorhamphus och Oedistoma i familjen bärpickare (Melanocharitidae) tidigare kallades långnäbbar.
Macrosphenus là một chi chim trong họ Macrosphenidae.[1]
Macrosphenus là một chi chim trong họ Macrosphenidae.