Chakonokono ni spishi za nyoka za jenasi Duberria katika familia Lamprophiidae. Wamepewa jina hili kwa sababu hula konokono.
Nyoka hawa ni wafupi. Majike yanaweza kufika sm 45 lakini urefu wa wastani ni sm 25 na 35. Kichwa ni kifupi sana na hata mkia ni mfupi wenye ncha kali. Kwa kawaida rangi yao ni kahawia na pengine wana mlia mweusi mbavuni. Kuna wengine weusi kabisa.
Chakonokono hukiakia mchana wakitafuta konokono. Konokono uchi huakiwa tu lakini wale wenye koa huvutwa kutoka koa ile kwanza.
Nyoka hawa hawana sumu na hawaihitaji kwa sababu wanakula konokono tu. Na hawang'ati wakishikwa na watu.

Duberria is a genus of snakes of the family Pseudoxyrhophiidae.[1]
Duberria is a genus of snakes of the family Pseudoxyrhophiidae.
Duberria es un género conocido de serpientes de la familia Lamprophiidae. Sus especies se distribuyen por el África subsahariana.[1]
Se reconocen las siguientes especies:[1]
Duberria es un género conocido de serpientes de la familia Lamprophiidae. Sus especies se distribuyen por el África subsahariana.
Perekonda Duberria klassifitseeritakse roomajate andmebaasis järgmised maoliigid[2]:
Neid madusid võib kohata Aafrika lõunaosas.
Selles artiklis on kasutatud prantsuskeelset artiklit fr:Duberria seisuga 25.08.2014.
Duberria Lamprophiidae familiako narrasti genero bat da. Afrikako hegoaldean bizi dira.
Duberria Lamprophiidae familiako narrasti genero bat da. Afrikako hegoaldean bizi dira.
Duberria est un genre de serpents de la famille des Lamprophiidae[1].
Les quatre espèces de ce genre se rencontrent en Afrique australe et en Afrique de l'Est[1].
Selon Reptarium Reptile Database (9 septembre 2014)[2] :
Duberria est un genre de serpents de la famille des Lamprophiidae.
Duberria Fitzinger, 1826 è un genere di serpenti della famiglia Lamprophiidae.[1]
Comprende le seguenti specie:[1]
Duberria Fitzinger, 1826 è un genere di serpenti della famiglia Lamprophiidae.
Duberria – rodzaj węży z kladu Caenophidia zaliczany w zależności od przyjmowanej klasyfikacji do podrodziny Boodontinae wchodzącej w skład rodziny połozowatych (Colubridae) lub do odrębnej rodziny Lamprophiidae, obejmujący gatunki występujące w Afryce.
Obecnie do tego rodzaju należą następujące gatunki:
Duberria – rodzaj węży z kladu Caenophidia zaliczany w zależności od przyjmowanej klasyfikacji do podrodziny Boodontinae wchodzącej w skład rodziny połozowatych (Colubridae) lub do odrębnej rodziny Lamprophiidae, obejmujący gatunki występujące w Afryce.
Duberria[1] este un gen de șerpi din familia Colubridae.[1]
Cladograma conform Catalogue of Life[1]:
|access-date=
(ajutor)Mentenanță CS1: Nume multiple: lista autorilor (link)