dcsimg

Swala ( swahili )

fornì da wikipedia emerging languages

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru

Swala ni wanyama walao manyasi katika nusufamilia Antilopinae, Aepycerotinae na Pantholopinae za familia Bovidae. Hupatikana katika maeneo yenye nyasi fupi fupi na vichaka vifupi fupi hasa kwenye maeneo mengi ya hifadhi katika Afrika. Spishi nyingine hukimbia kilometa 80 kwa saa na zina uwezo wa kuruka mita 7 hadi 8 juu akiwa kwenye kasi. Rangi yao ni ya mchanga na nyeupe kidogo kwenye koromeo na sehemu ya chini ya mkia. Maadui yao wakubwa ni simba, chatu na chui.

Spishi

Picha

Crystal Clear app babelfish vector.svg Makala hii kuhusu mnyama fulani bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Swala kama uainishaji wake wa kibiolojia, maisha au uenezi wake?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.

Ili kupata maelezo kuhusu masanduku ya uanapwa ya spishi angalia: Wikipedia:WikiProject Mammals/Article templates/doc.

licensa
cc-by-sa-3.0
drit d'autor
Waandishi wa Wikipedia na wahariri

Swala: Brief Summary ( swahili )