Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru
Maksai aktiki (pia huitwa Maksai maski kutoka jina la Kiingereza "muskox"; Kisayansi: Ovibos moschatus) ni mnyama wa Aktiki wa jenasi Ovibos mwenye manyoya mengi na harufu ya maski. Maksai aktiki wanaishi maeneo ya Aktiki ya Kanada na Grinlandi, na pia nchini mwa Uswidi, Siberia na Norwe.
Makala hii kuhusu mnyama fulani bado ni mbegu.Ili kupata maelezo kuhusu masanduku ya uanapwa ya spishi angalia: Wikipedia:WikiProject Mammals/Article templates/doc.
Ili kupata maelezo kuhusu masanduku ya uanapwa ya spishi angalia: Wikipedia:WikiProject Mammals/Article templates/doc.