dcsimg

Notoptera ( 北菲士蘭語 )

由wikipedia emerging languages提供
Amrum.pngTekst üüb Öömrang

Notoptera as en order faan insekten. Det betiaknang Notoptera as oober ei iandüüdag.

1. Notoptera woort lik saat mä't order Kakelakenstaapken, det san a Grylloblattodea.

2. Notoptera woort uunsen üs order för jo tau onerordern

Kakelakenstaapken (Grylloblattodea)
Haielluupern (Mantophasmatodea)

3. Uun't Nuurdfresk Wikipedia racht wi üs efter det iarst mögelkhaid.

許可
cc-by-sa-3.0
版權
Wikipedia authors and editors
原始內容
參訪來源
合作夥伴網站
wikipedia emerging languages

Notoptera ( 斯瓦希里語 )

由wikipedia emerging languages提供

Notoptera (notos = mgongo, ptera = mabawa) ni oda ndogo ya wadudu iliyo na spishi 55 zinazoishi hadi sasa. Spishi hizi zimeainishwa katika familia mbili: Grylloblattidae (wadudu-barafu) na Mantophasmatidae (watambaaji-miamba). Kuna familia mbili za spishi zilizoisha sasa.

Wadudu-barafu wanatokea Amerika ya Kaskazini na Asia ya Mashariki juu ya milima. Hutafuta arithropodi wadogo waliokufa kwa barafu.

Watambaaji-miamba wanatokea Afrika ya Kusini tu lakini spishi moja inatokea Tanzania. Hula wadudu wengine.

Jenasi za Afrika

  • Austrophasma
  • Hemilobophasma
  • Karoophasma
  • Lobatophasma
  • Mantophasma
  • Namaquaphasma
  • Pachyphasma
  • Praedatophasma
  • Sclerophasma
  • Striatophasma
  • Tanzaniophasma
  • Tyrannophasma
  • Viridiphasma

Picha

Blue morpho butterfly.jpg Makala hii kuhusu mdudu fulani bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Notoptera kama uainishaji wake wa kibiolojia, maisha au uenezi wake?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari. WikiLettreMini.svg Makala hii kuhusu "Notoptera" inatumia neno (au maneno) ambalo si kawaida na matumizi yake ni jaribio la kutafsiri neno (au maneno) la asili icebug, rock crawler kutoka lugha ya Kiingereza. Neno (au maneno) la jaribio ni mdudu-barafu, mtambaaji-miamba.
Wasomaji wanaombwa kuchangia mawazo yao kwenye ukurasa wa majadiliano ya makala.

Kamusi za Kiswahili ama zinatofautiana kuhusu matumizi ya neno hili au hazieleweki au hazina neno kwa jambo linalojadiliwa.

許可
cc-by-sa-3.0
版權
Waandishi wa Wikipedia na wahariri
原始內容
參訪來源
合作夥伴網站
wikipedia emerging languages

Notoptera: Brief Summary ( 斯瓦希里語 )

由wikipedia emerging languages提供

Notoptera (notos = mgongo, ptera = mabawa) ni oda ndogo ya wadudu iliyo na spishi 55 zinazoishi hadi sasa. Spishi hizi zimeainishwa katika familia mbili: Grylloblattidae (wadudu-barafu) na Mantophasmatidae (watambaaji-miamba). Kuna familia mbili za spishi zilizoisha sasa.

Wadudu-barafu wanatokea Amerika ya Kaskazini na Asia ya Mashariki juu ya milima. Hutafuta arithropodi wadogo waliokufa kwa barafu.

Watambaaji-miamba wanatokea Afrika ya Kusini tu lakini spishi moja inatokea Tanzania. Hula wadudu wengine.

許可
cc-by-sa-3.0
版權
Waandishi wa Wikipedia na wahariri
原始內容
參訪來源
合作夥伴網站
wikipedia emerging languages

Notoptera: Brief Summary ( 北菲士蘭語 )

由wikipedia emerging languages提供

Notoptera as en order faan insekten. Det betiaknang Notoptera as oober ei iandüüdag.

1. Notoptera woort lik saat mä't order Kakelakenstaapken, det san a Grylloblattodea.

2. Notoptera woort uunsen üs order för jo tau onerordern

Kakelakenstaapken (Grylloblattodea) Haielluupern (Mantophasmatodea)

3. Uun't Nuurdfresk Wikipedia racht wi üs efter det iarst mögelkhaid.

許可
cc-by-sa-3.0
版權
Wikipedia authors and editors
原始內容
參訪來源
合作夥伴網站
wikipedia emerging languages