Kwa mfalme au mwene mkuu wa kwanza wa Washambaa tazama "Mbegha"
Mbega (pia: mbegha [1] ) ni kima wa nusufamilia Colobinae katika familia Cercopithecidae. Wanatokea Afrika na Asia. Spishi nyingi huishi mitini lakini spishi nyingine huishi savana zenye miti na hata mijini. Vidole gumba vya spishi za Afrika vimekuwa vigutu pengine ili kurahisisha kwenda katika miti. Mbega hula majani, maua na matunda, pengine wadudu na wanyama wadogo.
Ili kupata maelezo kuhusu masanduku ya uanapwa ya spishi angalia: Wikipedia:WikiProject Mammals/Article templates/doc.
Kwa mfalme au mwene mkuu wa kwanza wa Washambaa tazama "Mbegha"
Mbega (pia: mbegha ) ni kima wa nusufamilia Colobinae katika familia Cercopithecidae. Wanatokea Afrika na Asia. Spishi nyingi huishi mitini lakini spishi nyingine huishi savana zenye miti na hata mijini. Vidole gumba vya spishi za Afrika vimekuwa vigutu pengine ili kurahisisha kwenda katika miti. Mbega hula majani, maua na matunda, pengine wadudu na wanyama wadogo.