dcsimg

Kima (kabila) ( Swahili )

provided by wikipedia emerging languages

Kima ni wanyama wa kabila Cercopithecini katika familia Cercopithecidae. Spishi za jenasi Chlorocebus huitwa ngedere au tumbili kwa kawaida. Wanatokea Afrika chini ya Sahara, lakini spishi kadhaa zimewasilishwa katika sehemu nyingine za dunia.

Spishi

Picha

Ili kupata maelezo kuhusu masanduku ya uanapwa ya spishi angalia: Wikipedia:WikiProject Mammals/Article templates/doc.

license
cc-by-sa-3.0
copyright
Waandishi wa Wikipedia na wahariri

Kima (kabila): Brief Summary ( Swahili )