dcsimg

Lemuri-sufu ( swahili )

fornì da wikipedia emerging languages

Lemuri-sufu (kutoka Kiingereza: woolly lemur) ni spishi za lemuri wa jenasi Avahi katika familia Indriidae. Kama lemuri wote wanatokea Madagaska tu. Manyoya yao ni laini na ya kusokotwa kama sufu. Wana rangi ya kahawiakijivu hadi kahawianyekundu na mkia una rangi ya kahawiamachungwa. Iko rangi ya nyeupe nyuma ya mapaja. Mwili wa wanyama hawa una urefu wa sm 30-50 na uzito wao ni g 60-1200, kwa hivyo wao ni spishi ndogo kuliko nyingine za familia hii. Hula majani hasa na pengine matumba na maua.

Spishi

Picha

WikiLettreMini.svg Makala hii kuhusu "Lemuri-sufu" inatumia neno (au maneno) ambalo si kawaida na matumizi yake ni jaribio la kutafsiri neno (au maneno) la asili woolly lemur kutoka lugha ya Kiingereza. Neno (au maneno) la jaribio ni lemuri-sufu.
Wasomaji wanaombwa kuchangia mawazo yao kwenye ukurasa wa majadiliano ya makala.

Kamusi za Kiswahili ama zinatofautiana kuhusu matumizi ya neno hili au hazieleweki au hazina neno kwa jambo linalojadiliwa.

Ili kupata maelezo kuhusu masanduku ya uanapwa ya spishi angalia: Wikipedia:WikiProject Mammals/Article templates/doc.

licensa
cc-by-sa-3.0
drit d'autor
Waandishi wa Wikipedia na wahariri

Lemuri-sufu: Brief Summary ( swahili )

fornì da wikipedia emerging languages

Lemuri-sufu (kutoka Kiingereza: woolly lemur) ni spishi za lemuri wa jenasi Avahi katika familia Indriidae. Kama lemuri wote wanatokea Madagaska tu. Manyoya yao ni laini na ya kusokotwa kama sufu. Wana rangi ya kahawiakijivu hadi kahawianyekundu na mkia una rangi ya kahawiamachungwa. Iko rangi ya nyeupe nyuma ya mapaja. Mwili wa wanyama hawa una urefu wa sm 30-50 na uzito wao ni g 60-1200, kwa hivyo wao ni spishi ndogo kuliko nyingine za familia hii. Hula majani hasa na pengine matumba na maua.

licensa
cc-by-sa-3.0
drit d'autor
Waandishi wa Wikipedia na wahariri

Авагистер ( Kirghiz; Kyrgyz )

fornì da wikipedia emerging languages

Авагистер (лат. Avahi) — маймылсымактардын бир уруусу, буларга даакы жүндүү авагис (Avahi laniger) кирет.

Колдонулган адабияттар

  1. 1.0 1.1 Калып:MSW3 Groves
  2. (en) MC McKenna, SK Bell, Classification of Mammals: Above the Species Level, Columbia University Press 1997, p.336, ISBN 0-231-11013-8.
licensa
cc-by-sa-3.0
drit d'autor
Wikipedia жазуучу жана редактор