dcsimg
Image of Alderfly
Creatures » » Animal » » Arthropods » » Hexapods » Insects » Winged Insects » » Endopterygotes »

Dobsonflies, Fishflies, And Alderflies

Megaloptera

Mdudu Mabawa-makubwa ( Swahili )

provided by wikipedia emerging languages

Wadudu mabawa-makubwa ni wadudu wakubwa kiasi hadi wakubwa sana wa oda Megaloptera (megalos = kubwa, ptera = mabawa) ambao wana mabawa makubwa yakilinganishwa na mwili wao. Wanaruka angani vigoigoi. Muda wa maisha ya wadudu wapevu ni mfupi, kwa kawaida siku chache (si zaidi ya wiki moja). Kwa kinyume lava huishi miaka 1-5 majini.

Oda hii ina familia mbili tu na spishi 8 zimeelezwa katika Afrika. Spishi kubwa kabisa duniani imefunuliwa huko Uchina. Haijapata jina la kisayansi lakini jina la Kiingereza ni Giant dobsonfly. Urefu wa mabawa pamoja ni sm 21.

Spishi za Afrika

  • Chloroniella peringueyi
  • Leptosialis africana
  • Leptosialis necopinata
  • Madachauliodes ranomafana
  • Madachauliodes torrentialis
  • Platychauliodes capensis
  • Platychauliodes woodi
  • Taeniochauliodes ochraceopennis

Picha

Blue morpho butterfly.jpg Makala hii kuhusu mdudu fulani bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Mdudu Mabawa-makubwa kama uainishaji wake wa kibiolojia, maisha au uenezi wake?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari. Crystal Project Babelfish.png Makala hiyo kuhusu "Mdudu Mabawa-makubwa" inatumia jina ambalo halijakuwepo kwa lugha ya Kiswahili. Jina hili linapendekezwa kwa jina la mnyama huyu au wanyama hawa amba(ye)(o) ha(wa)na jina kwa sasa.

Wasomaji wanaombwa kuchangia mawazo yao kwenye ukurasa wa majadiliano ya makala.
Kamusi za Kiswahili hazina jina kwa mnyama huyu au wanyama hawa.

license
cc-by-sa-3.0
copyright
Waandishi wa Wikipedia na wahariri

Mdudu Mabawa-makubwa: Brief Summary ( Swahili )