dcsimg

Oposumu ( Swahili )

provided by wikipedia emerging languages

Oposumu (kutoka Kiing.: opossum) ni wanyama wa ngeli ya marsupialia katika oda ya Didelphimorphia wa Amerika.

WikiLettreMini.svg Makala hii kuhusu "Oposumu" inatumia neno (au maneno) ambalo si kawaida na matumizi yake ni jaribio la kutafsiri neno (au maneno) la asili opossum kutoka lugha ya Kiingereza. Neno (au maneno) la jaribio ni oposumu.
Wasomaji wanaombwa kuchangia mawazo yao kwenye ukurasa wa majadiliano ya makala.

Kamusi za Kiswahili ama zinatofautiana kuhusu matumizi ya neno hili au hazieleweki au hazina neno kwa jambo linalojadiliwa.

license
cc-by-sa-3.0
copyright
Waandishi wa Wikipedia na wahariri