dcsimg

Mng'ong'o ( свахили )

добавил wikipedia emerging languages

Mng'ong'o )pia mng'ongo, mungango au mmorula; jina la kisayansi: Sclerocarya birrea) ni mti mkubwa wa savana. Matunda yake huitwa mang'ong'o au morula.

Mti huu haukuzwi kwa kawaida wala haukatwi ila huachwa porini kwa ajili ya matunda yake. Nyama ya matunda huliwa na kokwa mbichi zake pia. Matunda yanaweza kuchachuliwa ili kutengeneza pombe na hiyo inaweza kukenekwa ili kupata pombe kali (k.m. Amarula).

Juisi iliyochemshwa hutumika ili kukoleza uji uwe mtamu. Kokwa hupondwa ili kutengeneza keki na biskuti au kuweka supu rojorojo. Kokwa zinatoa mafuta pia yanayotumika kwa kupika na kupakia ngozi.

Picha

Viungo vya nje

Greentree.jpg Makala hii kuhusu mmea fulani bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Mng'ong'o kama uainishaji wake wa kibiolojia, uenezi au matumizi yake?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.
лиценца
cc-by-sa-3.0
авторски права
Waandishi wa Wikipedia na wahariri
изворно
посети извор
соработничко мреж. место
wikipedia emerging languages

Mng'ong'o: Brief Summary ( свахили )