dcsimg

Mdudu Mabawa-vena ( swahili )

fourni par wikipedia emerging languages

Wadudu mabawa-vena ni wadudu wadogo hadi wakubwa kiasi wa oda Neuroptera (neuro = neva, ptera = mabawa) katika nusungeli Pterygota (wenye mabawa). Jina ni tafsiri ya jina la kisayansi. Katika Afrika familia inayojulikana sana ni Myrmeleontidae (vitukutuku au simba-sisimizi).

Picha

Blue morpho butterfly.jpg Makala hii kuhusu mdudu fulani bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Mdudu Mabawa-vena kama uainishaji wake wa kibiolojia, maisha au uenezi wake?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari. Crystal Project Babelfish.png Makala hiyo kuhusu "Mdudu Mabawa-vena" inatumia jina ambalo halijakuwepo kwa lugha ya Kiswahili. Jina hili linapendekezwa kwa jina la mnyama huyu au wanyama hawa amba(ye)(o) ha(wa)na jina kwa sasa.

Wasomaji wanaombwa kuchangia mawazo yao kwenye ukurasa wa majadiliano ya makala.
Kamusi za Kiswahili hazina jina kwa mnyama huyu au wanyama hawa.

licence
cc-by-sa-3.0
droit d’auteur
Waandishi wa Wikipedia na wahariri

Mdudu Mabawa-vena: Brief Summary ( swahili )