Minandi ni ndege wa maji wa familia Phalacrocoracidae ambao wanafanana na vibisi lakini wana mkia mrefu zaidi na domo lao ana ncha kwa kulabu. Rangi yao kuu ni nyeusi. Minandi huzamia majini ili kukamata samaki. Hujenga matago yao kwa matawi na mimea ya maji juu ya miti au miamba. Jike huyataga mayai 3-4.