Sokwe Mtu
(
Svahili
)
wikipedia emerging languages tarafından sağlandı
Masokwe mtu ni wanyama wakubwa wa jenasi Pan katika familia Hominidae (masokwe wakubwa). Masokwe hawa wanaishi katika maeneo ya tropiki ya Afrika.
Spishi
-
Pan paniscus, Bonobo au Sokwe Mtu Mdogo (Bonobo au Pygmy Chimpanzee: Jamhuri ya Kidemokrasia ya Kongo)
-
Pan troglodytes, Sokwe Mtu wa Kawaida (Common Chimpanzee)
-
Pan t. schweinfurthii, Sokwe Mtu Mashariki (Eastern Chimpanzee: Jamhuri ya Afrika ya Kati, Sudani, Jamhuri ya Kidemokrasia ya Kongo, Uganda, Rwanda, Burundi, Tanzania na Zambia)
-
Pan t. troglodytes, Sokwe Mtu wa Kati (Central Chimpanzee: Kameruni, Jamhuri ya Afrika ya Kati, Ginekweta, Gaboni, Jamhuri ya Kongo na Jamhuri ya Demokrasia ya Kongo)
-
Pan t. vellerosus, Sokwe Mtu wa Nijeria (Nigerian Chimpanzee: Nijeria na Kameruni)
-
Pan t. verus, Sokwe Mtu Magharibi (Western Chimpanzee: Senegali, Mali, Gine, Sierra Leone, Liberia, Kodivaa na Ghana)
Picha
Sokwe mtu wa kawaida (jike na mtoto)
- lisans
- cc-by-sa-3.0
- telif hakkı
- Waandishi wa Wikipedia na wahariri
Sokwe Mtu: Brief Summary
(
Svahili
)
wikipedia emerging languages tarafından sağlandı
Masokwe mtu ni wanyama wakubwa wa jenasi Pan katika familia Hominidae (masokwe wakubwa). Masokwe hawa wanaishi katika maeneo ya tropiki ya Afrika.
- lisans
- cc-by-sa-3.0
- telif hakkı
- Waandishi wa Wikipedia na wahariri